Ads

Pogba amuingilia Kadabda juu ya kiwango chake...

Review...


Licha ya kuwapo tetesi za Zlatan Ibrahimovic kutimka Manchester United, mchezaji mwenzake Paul Pogba amemuombea arudi kwenye kiwango chake cha awali atakapoungana na wenzie kikosini.
Ibrahimovic amekuwa na kipindi kigumu Old Traford kutokana na kukabiliwa na majeraha mara kwa mara msimu ulioisha.
Mchezaji huyo amefanikiwa kufunga mabao 28 huku akitengeneza pasi 10 za mabao kabla ya kuwa nje ya uwanja tangu Aprili.
Mchezaji huyo mwenye mika 35 alisema anataka kubaki kikosini hapo licha ya kuwapo ofa nyingi kutokana klabu mbalimbali.
Licha ya tetesi hizo za uhamisho wa Ibrahimovic, lakini Pobga amesema anatarajia mchezaji huyo atarudi kwenye kiwango chake cha awali.
“Ni mchezaji aliyetusaidia kwa kisai kikubwa kutokana na hali tuliyokuwa nayo na kutufanya kumaliza msimu kwa heshima,” alisema Pobga alipokuwa akizungumza na Sky Sport.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.