Ads

Diamond aeleza ni kwanini alimpeleka mama yake ulaya....

Msanii diamond plutnumz ameeleza ni kwanini aliamua kumpeleka mama yake ulaya.Amesema kuwa tangu awe maarufu hajawahi kumpeleka mama yake nchi za nje na hivyo akaamua kufanya hivyo ili hata kesho akifa mama yake asibaki kusimuliwa tu."Nimeamua kufanya hivi kwakuwa mama yangu alikuwa na hamu ya kufika huko na pia hata nikiondoka kesho sitaki abaki kuhadisiwa tu ndo mana nimempeleka apaone mwenyewe"alisema diamond.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.