Ads

Jamhuri kihwelo aitishia Azam fc mchezo wa FA.....

Mocha mkuu wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelo amewatambia Azam Fc ambao watajituba dimbani kucheza mchezo wa FA April 24.Jamhuri amesema kuwa lazima wawafunge azam ili waweze kuiwakilisha Tanzania kimataifa.Pia aliongezea kuwa kwakuwa Azam wanaenda kwenye uwanja wao lazima wawafunge.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.