Ads

Taswira ya Mnada wa Nyama choma Msalato Dodoma.........


Ukifika Dodoma na Haujafika Mnada wa Msalato ni sawa sawa na kufika Dar bila kupanda Mabasi ya Mwendo kasi. Raha ya Dodoma utaiona tu pale utakapo fika katika Mnada huu wa Nyama choma uliopo Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Leo Muungwna Blog ilifanikiwa kufika katika Mnada huo ambao hufanyika siku ya Jumamosi tu na kuweza kujionea Taswira ya hapo na watu mbalimbali wakiwa wamefurika katika Mnada huo.

Hapa ni Boss wa Muungwana Blog wa katikati akiwa na Makamu Mwenye kiti wa NBC CLUB upande wa kulia Mr Hamad Nassor.

Picha za Baadhi ya wanachama wa NBC CLUB.








Picha za sehemu ya Nyama choma..




Picha za sehemu ya kuuzia nyama katika mnada huo..













































No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.