Ads

Baraka da Prince amtambulisha mpenzi wake kwa......

Msanii wa kizazi kipya wa bongo flava Baraka da Prince ameamua kumtambulisha mpenzi wake Najma kwa wazazi wake.Baraka amesema kuwa kilichomfanya kumtambulisha mapema mpenzi wake kwao ni kwasababu ya wanaume wanaomtolea macho Najma wake hivyo ameamua kufanya hivyo na kujiandaa na kufunga ndoa.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.