Ads

Picha za pambano la man pac yao za tisha mitandaoni......

Baada ya kuchapa makonde mpinzani wake na kutangaza kustaafu Man pac yao, picha za pambano hilo zimekuwa zikirushwa mitandaoni ikiwemo Facebook.Puc yao alimpiga bondia Timothy Bradley na kutangaza kuastaafu kupigana mnamo mwezi March.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.