Ads

Anne Kilango aibukia kanisani......

Siku chache baada ya kutumbuliwa jibu Mh Anne kilango ameibukia kanisani na kuwaambia waumini kuwa"yote yanayo kupata nikumshukuru mungu kwani hata unapojifungua mtoto akafa inakuwa sio riziki yako pia hata anapofariki mama au baba mzazi unachotakiwa nikumshukuru mungu" hivyo kila jambo nikumshukuru mungu alisema Anne Kilango

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.