Ads

Hivi ni Kweli Kuwa Wenye Herufi "M" Kwenye Kiganja Wana Bahati Sana?



Wengi Tumnimekuwekea ukweliekuwa tukisikia kuwa watu wenye herufi M kiganjani mkononi ni watu wa bahati...Hapa ....


HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA BAHATI KUBWA UNAWEZA KUWA NA PESA NYINGI AU KUWA KIONGOZI MKUU KATIKA MAMBO YA SIASA AU KUWA WEWE MTU MWENYE AFYA NZURI, AU KUWA NI MWANASHERIA AU HAKIMU AU KUWA MTU MAARUFU SANA. HERUFI ''M'' KWENYE KIGANJA CHAKO CHA MKONO WA KULIA INA ASHIRIA MAMBO MAZURI YA MAISHA YAKO YA BAADAE UTAFANIKIWA JITAHIDI.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.