Ads

Polisi Mara wathibitisha basi la Batco kuteketea kwa moto....

Mchana wa leo June 10, 2017 kuliripotiwa ajali ya Basi la Batco ambalo linafanya safari zake kati ya Mwanza na Tarime ambapo liliteketea kwa moto kwenye Daraja la Mto Kirumi likitokea Tarime.
millardayo.com na Ayo TV zimempata Kamanda wa Polisi Mara Jafari Mohamed ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Unaweza kumsikiliza Kamanda kwa kubonyeza play hapa chini…

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.