Ads

Mshambuliaji wa Prison avutwa Dar...


Mshambuliaji wa Prisons, Victor Hangaya aliyemaliza mkataba wake yuko mbioni kutua Yanga au Simba.
Mshambuliaji huyo yuko Dar es Salaam akifanya mazungumzo na viongozi wa klabu hizo kongwe nchini.
Mtandao wa Mwananchi unafahamu kuwa  mshambuliaji huyo alipewa nauli na viongozi wa klabu hizo ili kuja kufanya mazungumzo jijini  baada ya kuona awali mazungumzo ya kwenye simu hayafikii tamati na ndipo wakamua kumpa  fedha ya nauli na kumkodia Guest iliyopo maeneo ya Kimara Butcher.
Akizungumzia suala Hangaya alisema alikuja kutembea jijini, lakini alipofika ndipo ameanza  kupokea simu za viongozi hao wanaotaka  huduma yake tangu msimu uliopita.
‘’Mimi nilikuja kwa ajili ya kutembea, lakini  nilivyokuwa natembea kuna baadhi waliniona na kuniambia kuwa nahitajika katika vikosi vya, ila pia nilivyokuwa Tabora walikuwa wakinipigia simu mara kwa mara wakiulizia matakwa yangu.”
Hata hivyo taarifa zinadai kuwa mshambuliaji  huyo aliletwa jijini na klabu ya Mbeya City kwaajili ya kufanya mazungumzo kwa kutaka  utulivu kutokana na uhasama wao na Prison jijini Mbeya, na kulipa gharama za

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.