Ads

Maelfu ya watu waokolewa libya....

Baadhi yao walipiga mbizi kuelekea kwa meli za uokoaji Meli za wanamaji wa Uhispania na Italia zimewaokoa maelfu ya watu nje ya pwani ya Libya hii leo. Takriban watu 3000 waliokolewa mapema leo kutoka zaii ya mashua 20 za mbao. Image AP Image Baadhi yao kama huyu walisalia ndani ya mashua kuwaangalia watoto wao Licha ya watu wengi kushangilia wakati meli za uokoaji zilipowasili na kuruka kupiga mbizi kuelekea kwa meli hizo, wengine walisalia kuwangalia watoto wao. Shirika la habari la AP linasema kuwa idadi kubwa ya watu hao ni kutoa nchini Eritrea.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.