Ads

konta atupwa nje michuano ya Stuttgat.........

TENESI


Haki miliki ya picha

katika michuano ya wanawake ya tenesi wazi ya Stuttgat mwingereza Johanna Konta ametupwa nje ya michuano hiyo na Anastasija Sevastova.
Anastasija alishinda kwa seti mbili ya 6-3 7-5
Nae Maria sharapova ameendeleza wimbi la ushindi katika mashindano hayo kwa kumchapa Ekaterina Makarova kwa seti seti mbili ya 7-5 6-1.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.