Ads

Vyama 9 Vya Siasa Kufutwa............


Vyama tisa vya siasa kati ya 22 vyenye usajili wa kudumu vipo hatarini kufutwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo na matakwa ya kisheria yaliyoviwezesha kupata usajili wa kudumu.  Hatua ya kufutwa vyama hivyo, vikiwamo baadhi visivyo na ofisi za kudumu (vyama vya mfukoni) itafikiwa ikiwa vitashindwa kujieleza kutokana na makosa ambayo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebaini katika...

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.