Ads

Mwenyekiti wa mtaa adaiwa kumpa mimba mwanafunzi...............


Mwenyekiti wa Mtaa wa Sangabuye, kata ya Igombe wilayani Ilemela mkoani Mwanza anayejulikana kwa jina la John Mayala anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtorosha na kumpa ujauzito mwanafunzi. Mwanafunzi huyo amefahamika kwa jina la Lucy Daudi, anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Sangabuye ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 14 hadi 17. Aidha jeshi la polisi...

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.