Ads

CUF wadai wanasubiri Maalim Seif akamatwe, kurejea leo......


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatarajiwa kurejea leo kutoka ughaibuni alikoenda kwa ziara ya takribani wiki tatu huku jeshi la polisi likijiandaa kumfikisha Mahakamani.Hivi karibuni, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu alieleza kuwa Jarida la Mashtaka dhidi ya Maalim Seif liko kwa Mkurugenzi wa Mashtaka wa Zanzibar, kutokana na kile alichodai kuwa aliwachochea...

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.