Ads

Salim kikeke awaomba radhi mashabiki wake kwa.....

Mtangazaji wa BBC Swahili ya London Salim kikeke kupitia mtandao wake wakijamii   amewaomba radhi mashabiki wake kwa kushindwa kuonekana kwenye TV na kusema kuwa nikwasanabu tu zilizoko nje ya uwezo wake. Salim amesema kuwa ameshindwa kwasababu bado upo kwenye uzazi kwani mkewe amejifungua mtoto hivyo hana budi kumhudumia.vilevile amwomba radhi kwa sanii kwa kushindwa kurusha nyimbo zao,wadau wa michezo halikadhalika habari nyinginezo.Mke wa Kikeke amejifungua mtoto(Loan Issa Kikeke).Kikeke alimalizia nakusema kuwa anatarajia kuridi kazini mwishoni mwa mwezi April kwahiyo mashabiki msiwe na hofu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.