Ads

Mbwana Samata hapa kazi tu...

Mchezaji Mbwana Ally Samata anayeichezea klabu ya Genk juzi amefanya kweli tena kuwahakikishia watanzania na mashabiki kuwa yeye ndio sama magoli.samata aliifungia Genk goli ambapo timu yake iliibuka na ushindi wa magoli 4-0

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.