Ads

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam apiga marufuku kuwapa ombaomba.....

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amepiga marufuku kuwapa pesa ombaomba wanaokaa pembezoni mwa barabara na maeneo mengine makubwa hapa jijini Dar es Salaam na kwengineko akidai kuwa ndo chanzo chakuongezeka kwa ombaomba nchini.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.