Ads

Joe makini atoa siri ya weusi

Msanii anaeliunda kundi la weusi Joe making amesema kuwa wao kama kundi sana style yao yakipekee wakati wakurap kwani wanapoandika mashairi wanajua nikitu gani wanachokifanya.Joe ameongea hayo mara baada ya kumaliza show yakusheherekea miaka 17 kituo cha Eat Africa TV/radio.Joe alimalizia kwakuwataka wasanii wenzake wakaze buti katika kazi zao.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.