Ads

Raisi B.Obama amekutana na wasanii wa nchini humo kwa lengo la......

Raisi Barack Obama Jana amekutana na baadhi ya wasanii wa nchini humu, lengo likiwa ni kijadili juu ya upambanaji wa matumizi ya madawa ya kulevya.Raisi Obama alikutana na wasanii Rick Ross,Nicki Minaj,Pusha T,Vista Rhymes,Common,J.Cole,Alicia keys na wengineo wengi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.