Ads

Mwalimu Ashikiliwa kwa kumbaka mwanafunzi......

Mwalimu mkoani Moshi ashikiliwa kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.Mwalimu huyo aliyejulikana kwa jina la Richard Warioba anadaiwa kumbaka mwanafunzi huyo baada ya kumkaribisha kwake akiwa anahitaji ampikie chakula na mara baada ya kuingia alifunga mlango na kumziba mdomo mwanafunzi huyo kwa nia ya kutimiza lengo lake.Taarifa zinasema kuwa Mara baada ya kupiga kelele mwanafunzi huyo ndipo watu walipokuja na kumpatia msaada kwa kumkimbiza hospitali kwa kuangaliwa afya yake huku mwalimu huyo akiwa ameshikiliwa na jeshi la polisi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.