Ads

Jay Z amgeukia tena Rashford kutaka kufanya kazi naye.....

Rapa Jay z kupitia kampuni yake ya wakala ya ROC Nation Sports,imeripotiwa kusaka saini ya kuwa mwakilishi wa mshambuliaji kinda wa Man U Rashford mwenye umri wa miaka18.Ambapo kampuni hiyo imeanza kazi na bondia Andre Ward na mlinzi wa B.Munich Jerome Boateng.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.