Ads

Al ahal waondoka na nembo ya Simba sport Club kwaajili ya .....

Mashapiki wa timu ya Al ahal wameondoka na nembo ya Simba kwaajili ya kutengeneza bendera kubwa watakayoendanayo kwenye mchezo wa marudiano na Yanga huko Cairo Misri.lengo ikiwa nikuwapa shukrani fance hao wa Simba kwa kuwasapoti kwenye mchezo wao wa kwanza uliopigwa jijini Dar es Salaam nakutoka sare ya goli maja kwa moja.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.