Ads

Ferooz nilikuwa napata milioni mbili hadi tatu....

Mkali wa bongo flava ambaye alikuwa anaunda kundi la Daz nunda amesema kuwa wakati alipokuwa anafanya shoo kipindi hicho alikuwa akilipwa milioni mbili hadi tatu kitendo kilichomfanya kununua gari lake aina ya jeep kwa bei ya shilingi milioni kumi na name.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.