Ads

TAZAMA NGOMA MPYA WCB MAROMBOSO NDANI "zilipendwa"



Image result for maromboso

Leo Aug 25 nimepokea baadhi ya video mpya kutoka kwa wakali mbali mbai wa Bongofleva, na mojawapo ni ‘‘Zilipendwa’ ya kundi zima la WCB ambapo ndani yake tumeona uwepo wa Maromboso ambaye alikuwa kweye kundi la Yamoto Band.
Je ndo amesainiwa na label ya WCB? maana hakuna ilipoonyeshwa kuwa ni wimbo wa WCB kumshirikisha Maromboso japo tumemuona Maromboso ndani.
Unaweza kuutazama hapa wimbo huo chini kwaa kubonyeza PLAY >>>
VIDEO: HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa >>>

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.