Ads

MANENO 8 YA BABU TALE KUHUSU VIJEMBE VYA ALIKIBA VS DIAMOND




Image result for bab tale


Meneja wa WCB Babu Tale ametia neno kwenye gumzo linaloendelea sasa hivi mitandaoni kati ya pande mbili za Wasanii wawili maarufu wa Bongofleva ambao ni Alikiba na Diamond Platnumz.
Tale kwenye Instagram yake ameandika ‘Tushindane kwenye kazi, vijembe vya mitandao tuwaachie mashabiki….. #zilipendwa link on my bio”



No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.