HAYA NDIO BAADHI YA MAMBO KUTOKA ALVERA SALOON...
Kutana na wataalamu wa urembo kutoka ALVERA SALOON.Nisaluni yakisasa ya kinadada huduma zao ni nafuu na utajisia faraja pindi ufikapo ALVERA SALOON.
Huduma zao zinaanzia saa tatu asubuhi mpaka saa nne usiku.Karibu ALVERA SALOON ubadilishe muonekano wako.
huduma wanazotoa nikama ville streaming,bonding,meckup,wiving,kubandika kucha,kufunga vilemba,wanakodisha mashela na vfaa vyote kwa maharusi...
kwa huduma nyingine unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba
0656126998....
PICHA KUTOKA ALVERA SALOON
No comments