Ads

Terry karibu Dotmund kwa maisha mapya...


Image result for john terry

London, England. Asmir Begovic amemkaribisha John Tery huku akimpa angalizo kutokana na kubadili maisha akitokea Chelsea.
Kipa huyo raia wa Bosnia-Herzegovina, Begovic aliiwahi kuitumikia Chelsea kwa miaka miwili na kutimkia klabu ya Thibaut Courtois ya Ligi Kuu.
Terry aliaga msimu ulioisha akisema anakwenda kutafuta maisha ya soka sehemu nyingine.
Mchezaji huyo alikuwa anahusihwa kuhamia Aston Villa, lakini Begovic anayecheza kwa mkopo klabu ya Bournemouth anamkaribisha mchezaji huyo mkongwe.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.