Timu mbalimbali kuwania tiketi ya kufuzu kombe la dunia.......
Leo timu za nchi mbalimbali zitaingia uwanjani kukipiga kusaka tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.
Miongoni mwa michezo hiyo ni Austria itakipiga dhidi ya Wales
Moldova - Serbia.
Kosovo - Croatia.
Jamuhuri ya Ireland - Georgia.
Liechtenstein - Albania.
Macedonia - Israel.
Iceland - Finland.
Turkey - Ukraine.
Huku mchezo mkali ukiwa kati ya mabingwa wa mwaka 2006 Italia dhidi ya mabingwa wa 2010 Hispania.
No comments