Ads

Msikie diamond kuhusu Gwear........

Msanii Diamond maarufu kama simba kutoka wasafi amesema kuwa wakati Albert Mangwear ambaye ni marehemu kwa sasa, aliwahi kumfwata kabla hajaiga dunia nakumuambia amuandikie nyimbo lakini nyimbo hiyo haikufanikiwa kutoka mpaka sasa.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.