Ads

Juma Nature mziki umepoteza hadhi yake........

Mkongwe wa muziki wa bongo flava jumma kasim juma maarafu kama Sir Nature wamesema mziki wa Tanzania umepoteza thamani yake.
Kwani kila msanii anaechipukia anaimba kuhusu mapenzi tofauti na miaka ya nyuma.
Kitendo hiki kinaufanya muziki wa Tanzania kushuka hadhi yake.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.