Ads

Breaking News: Chadema Yatangaza Kuhairisha Operesheni UKUTA......

CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo Msikilize Hapa:

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.