Ads

Yanga wanahitaji pongezi ya kutosha lakini wasibweteke kwani....

Nikweli kwamba yanga wanahitaji pongezi kwa kutoka sare ya goli 1-1 dhidi ya El-ahal ya misiri kwenye mchezo wao wa jumamosi kwani walicheza kwenye kiwango tena na timu yenye wadhamini wadhamini zaidi ya mmoja mfano Huawei,Vodafone nanyinginezo nyingi ambapo ukuangalia kampuni ya simu ya Huawei wana mkataba na vilabu vya huko majuu mfano PSG,Arsenal,AC millan,B.Dotmund,Ajax,A.Madrid na hata Galactasaray.pia wachezaji wengi wa timu ile wameandaliwa toka wakiwa na miaka sita kwa hapa bongo ushawahi kuona au kusikia kuwa kuna mchezaji ameandaliwa toka akiwa na miaka sita hamna kitu.Hivyo yanga niwakupewa hongera lakini kazi bado wasibweteke.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.