Ads

Siri ya tattoo za Cris brown.....

Kwa mara ya kwanza mwanamuziki Cris brown amefunguka nakusema kuwa alianza kuchora tattoo akiwa na umri wa miaka 13 kitendo kilichomfanya agombezwe na mama yake mzazi.Cris amesema kuwa akiwa na miaka 13 alichora tattoo iliyokuwa inapicha ya yesu akiwa na maana kuwa anamshukuru mungu kwa kumjalia kuwa na kipaji cha kuimba na alipoenda kumuonyesha mama yake alimgombeza lakini badae alikuja kumuelewa.Cris mwenye miaka 27 hadi sasa mwili wake una tattoo hizo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.