Ads

Nick Minaj ajutia mabifu na wasanii wenzake....

Rapa, Nick minaj licha yakujulikana kuwa ni mbabe na asiyekuwa na kauli lakini kwa Mara ya kwanza amehojiwa kwenye mtandao wa Facebook nakusema kuwa anajutia sana kuweka bifu na wasanii wenzake kama Taylor Swift na Millet Cyrus.Nicky amesema kuwa yeye ni mtu mzuri na hataki kuwa na roho mbaya.Nicky alitoa Kali alipoulizwa kuwa nikweli ameachana na mpenzi wake aliseme"ukweli ni kwamba sijaachana na mpenzi wangu kwani hata siku ya skukuu ya wapendanao tulikua wote kitandani"alisema Nicky.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.