Ads

Humprey Polepole Amshukia Zitto Kabwe Ripoti ya CAG.



Kuna mtu mmoja anaongoza kwa upotoshaji juu ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Chama chake kina mbunge mmoja tu wa ACT Wazalendo. Sijui kasoma shule gani huyu. Kaja anasoma juu juu tu eti trillion 1.5! Ana bahati ndugu Magufuli ni mpole ila tushamwambia mwaka 2020 akatafute kazi ya kufanya. Pia arudi shule akasome kwani hakuna hata shilingi moja iliyopotea - Humprey Polepole

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.