Ads

Totenham wamemgeukia tena Wanyama....

Klabu ya totenham hortspus imeamua kumgeukia victor wanya ambaye anaichezea Southampton, lakini Arsenal noa wameonekana kumtaka.Wanyama mwenye umri wa miaka 24 ambaye ni mkenya ameonekana kuwa tishio kwenye ligi kuu ya England.mwaka Jana Tottenham walimtaka wanyama kwa ada ya pauni millioni 18 pia Man U lakini southamptom walikataa.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.