Ads

Anayemtaka Lukaku aweke pauni millioni 65 mezani...

Everton imeweka wazi kuwa ikotayari kumuachia mshambuliaji wao Romelu Lukaku kwa timu yoyote lakini kwa dau la paun million 65.Lukaku amekuwa mshambuliaji mzuri na timu mbalimbali zimeonekana kumtolea macho Man U,Juve,PSG na Chelsea wote wanaonekana kumtaka Lukaku

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.