Ads

Antonio Conte ameamua kufanya maongezi na....

Kocha mpya wa Chelsea Antonio conte ameongea na staa Diego Costa ambaye alidai kuondoka London mwishoni mwa msimu huu.lakini conte amefanya maongezi na Costa ili abaki kuongeza nguvu kwenye timu hiyo.conte alitembelea kwa kushtukiza timu hiyo kwenye uwanja wake wa mazoezi na ndipo alipoamua kuongea na Diego costa.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.