Ads

msikie Mayanja anavyosema....

Kocha mkuu wa Simba amefunguka nakusema kuwa mafanikio ya timu yake ya Simba yanatokana na mbinu zake anazozitumia.amesema kuwa moja kati ya mbinu hizo ni kwamba huwa anapenda kuwaacha wachezaji wake wenyewe kwenye vyumba vya kubadilisha nguo wakiwa na viongozi.anasema kuwa huwa anatangulia uwanjani na kukaa kwenye benchi lake la ufundi hivyo amegundua kuwa kitendo hiki husaidia kuondoa hofu kwa wachezaji wake na ndo mana mnayaona mafanikio ya time.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.