Ads

Vodacome watoa pongezi kwa.......

Kampuni ya mtandao wa Vodacome wametoa pongezi kwa mchezaji wa mtibwa sugar Kichuya kwa kuwa mchezaji bora wa mwezi machi na kutangaza kumpa shilingi milioni moja pesa za kitanzania.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.