Ads

Raisi wa Uganda ametoa kauli juu ya....

Jana Rais wa Uganda Museven ametoa kauli ya mwisho kwa bomba la mafuta kuwa litapitia njia ya kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga mbele ya maraisi wa Kenya,Rwanda na wa kaskazini ya Sudan kusini.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.