Ads

Ronaldo amewambia wolfsburg asanteni kwa kuja....

Mshambuliaji wa Real Madrid Christian Ronaldo amewapa kauli Wolfsburg kuwa asanteni kwa kuja.Ronaldo ameamka kuanzia saa 12 asubuhi kwaanili ya mazoezi na hii sio yeye peke yake bali akiwa na wenzake yote ni kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano utakaopigwa Leo mda wa SAA 9:45.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.