Ads

Kocha wa El-ahal anongelea kolichotokea juzi jumamoai kwenye uwanja wa taifa....

Kocha mkuu wa El-ahal ya misri ameongelea juu ya tukio lililotokea juzi kwenye uwanja wa taifa wakati wa mchezo kati ya Yanga na waarabu hao ambapo mashabiki wa Simba walijitokeza na kuamua kuwashangilia waarabu hao.Kocha huyo amesema ameshangazwa sana na kitendo hicho.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.