Ads

polisi watatu wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kuomba na kupokea rushwa....

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(Takukuru), mkoa wa Tabora Leo imewapandisha mahakamani polisi watatu kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya shilingi milioni 3 kutoka kwa moja kati ya wafugaji wa kijiji cha Mkirigi wilayani Kaliu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.