Ads

Kiiza Besigye adai kuwa yeye ndie mshindi wa uchaguzi Uganda....

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kiiza Besigye amekutana na wanachama wenzake baada ya kuwa kwenye kifungo cha nyumbani kwa muda wa siku 55.Katika mahojiano yake na DW amesema ana ushahidi kwamba yeye ndiye mshindi wa uchaguIzi wa uraisi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.