Ads

Polisi Arusha wamkamata raia kwa kosa la kumtukana Rais......

Polisi  Arusha wamkamata raia kwa kosa la kumtukana Rais Magufuli kuwa yeye ni bwege na hawezi kufananishwa na Raisi wa awamu ya kwan J K Nyerere.Raia huyo amegundulika kwa jina la Issack Habakuk Emily.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.