Ads

Hemdi amesema hawezi kuacha kujiremba.....

Msanii wa bongo move Hemedi PHD amesema haemwezi kuacha kujiremba kwani kujiremba hakujaumbiwa wanawake peke hao.Amesema kuwa yeye ni staa hivyo anatakiwa kuishi kistaa zaidi na hivyo anaweza kupakaa lipstick ili kuwa na mvuto kama staa hivyo hawezi kuacha kujipodoa.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.