Ads

Pikipiki moja imegongwa wakati wa majaribio ya......

Pikipiki moja imegongwa jana wakati wa majaribio ya nagari yaendayo kasi kwa kosa la kuvunja sheria na kuingia kwenye barabara hizo.hayo yametokea jana kwenye kituo chcha bakhresa magomeni wakati magari hayo yakiwa yako kwenye majaribio kabla ya kuanza kazi.Chini ni picha ya gari hilo na pikipiki hiyo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.