Ads

Baba mzazi wa Marts Hummels adai kuwa mwanae....

Baba mzazi wa Marts Hummels ambaye ni beki wa B.Dortmund amedai kuwa mwanae anastahili kuichezea Man city kwani ndio timu pekee anayoiona kuwa inamfaa mwanae. Marts ambaye mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu wiki hii alikuwa akiongelewa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.Pia Baba mzazi huyo ameongezea kuwa Pep Gurdiola ndo kocha sahihi wakukinoa kikosi cha Man city.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.